Image result for tigo banner

New Video | Zill - Kizembe


Zill ni msanii aliyeibukia kupitia mashindano yaliyoandaliwa na Tanzania Colege Star Search (TACS Music) nakuibuka mshindi wa kwanza kwa mwaka 2015. wimbo huo unaitwa kizembe umeandaliwa na Green Record iliyopo mbeya na Video kuongozwa na Director mkubwa nchini Tanzania 'Nicklass' ambaye pia ameongoza video kama; shika adabu yako ya Nay wa mitego na Shori ya kwake Cyril Kamikaze. kwa sasa zill ni msomi kutoka chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya

No comments

Powered by Blogger.