Image result for tigo banner

Hispania yaingiza timu tano ligi ya mabingwa Ulaya

Katika mechi za hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, Hispania imekuwa nchi ya kwanza kuwa na timu tano zilizofuzu baada ya Valencia kufungwa na Monaco 2-1 lakini ushindi wa jumla wa mabao 4-3 dhidi ya baada ya mechi ya kwanza Valencia kushinda 3-1.
valencia
Wachezaji wa Valencia wakishangilia baada ya kufudhu UEFA
valencia1
Negredo wa Valencia akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Monaco
Klabu ya Valencia inaungana na Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid. Sevilla pia wapo kufuzu kupitia ushindi wao katika msimu uliopita wa ligi ya Ulaya.
valencia3
Kocha wa Valencia Nuno Espirito Santo (katikati) akishangilia na wachezaji wake baada ya mchezo kuisha

No comments

Powered by Blogger.