UNITED wazidi kurudi enzi zao
Manchester United imefuzu kucheza Ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kushinda mechi ya leo kwa 4 -0 dhidi ya CLUB BRUGGE. Mabao yamefungwa na WYNE ROONEY 3 na UNDER HERRERA 1. CHICHARITO amekosa penaliti baada ya kupiga na kuteleza.
Post a Comment