Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa ‘Sexy Rosey’. Video imeongozwa na Godfather.
Post a Comment