MREMA AWATAKA WAKAZI WA VUNJO KUMPIGIA KURA MAGUFULI
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya
Himo.
Mwenyekiti
wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema
akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi
wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli
kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya Tanzania.
Wakazi
wa Rombo Tarakea wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za
CCM.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akimnadi mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM Innocent Shirima.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Mwanga kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo
aliwaahidi wananchi hao kuwa atatua tatizo la maji na barabara.
Wananchi wa Mwanga mkoani Kilimanjaro wakifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za CCM
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Mwanga ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa
amejiandaa kutumikia wananchi kwa maendeleo ya Taifa.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mwanga Profesa Jumanne Maghembe
kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Mwanga.
Mhe. Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye uwanja wa mikutano Ndugu , Same Mashariki.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango
wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za
CCM Ndungu.
Wakazi wa Same Mashariki wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Same Magharibi kwenye uwanja wa Kwasakwasa ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha kodi ndogo
ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.

Post a Comment