Image result for tigo banner

PAUL SCHOLES AYATOA YAKE MOYONI KUHUSU UNITED

 
Kiuongo wa Manchester United Paul Scholes wakati anachambua soka hapo jana kwenye TV ya BT sport. Amesema klabu yake ya zamani inaboaeka sana. Kuanzia wachezaji , mashabiki na Kocha mwenyewe anaboa sana. Ni baada ya kuona mwenendo wa klabu yake siyo mzuri kwa nyakati hizi. 

Manchester United jana imepata ushindi wa moja bila dhidi ya klabu ya Shield United. Goli pekee ya mashetani hao limefungwa na kiuongozi wao Wyne Rooney kwa mkwaju wa Penalti.

No comments

Powered by Blogger.