Picha: Joh Makini,G-Nako na Vanessa Mdee waingia studio kuandaa kazi mpya
Ni kazi baada ya kazi. Joh Makini na G-Nako pamoja na Vanessa Mdee wameingia studio ya The Industry na producer Nahreel kwa ajili ya maandalizi ya kazi mpya.
Kupitia Instagram, Joh Makini ameandika: Cooking #GoodMusicFamily #theindustrystudio unajua vile inakuaa G.Nako, Vanessa, Chinbees and Ahpha #January 2016.”
The Industry imekuwa na chemistry nzuri na wasanii hao baada ya kutengeneza hits zao kadhaa.
Post a Comment