Image result for tigo banner

Baada ya bifu zito, Shilole na Vanessa Mdee kutumbuiza pamoja weekend hii


Wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava ambao wiki kadhaa walikuwa kwenye bifu zitu hadi kufikia kutishiana na kutukanana mitandaoni huku kisa kikiwa bado hakijulikani.Vanessa na shilole watakuwa na show ya pamoja weekend hii.
Vanessa ameshare tangazo linaloonyesha kuwa na show na msanii shilole
A photo posted by VeeMoney (@vanessamdee) on

Kwa kudhihirisha hilo shilole naye aka share tangazo hilo kuwa watakuwa pamoja na Vanessa

A photo posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno_badgirlshishi) on

No comments

Powered by Blogger.