Image result for tigo banner

Waziri Ndalichako katolea ufafanuzi kufukuzwa kwa wanafunzi wa UDOM

.

 Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala hilo.

No comments

Powered by Blogger.